Saturday, August 22, 2015

BNV Vs Gymkhana Fc

BVN Yapambana vita kubwa katika Viwanja Vya Gymkhana


                                  Kiwanja cha Gymkhana ambacho nyasi ziliwaka moto

 
     Captain wa BNV katika Geoffrey akifanya kupasha Misuli na Golikipa Hussein (Kushoto)         pamoja     na Tobby (kulia) tayari kabisha kupambana na Gymkhana Fc


Kikosi cha BNV kilicho anza mapambano katika viwanja vya Gmykhana,waliosimama kutoka kushoto ni Agapit,George,Wille,Eddo,Mmari,Kambi,Geoffrey,Lusesa.
walio chuchumaa kutoka kushoto ni Khamis,Mosses,Hussein,Sam na Tobby

Bnv wakiwa wana pasha pasha misuli moto kujiweka safi kabisa kwa ajili ya mpambano,Agapit,Mosses,George,Kambi,Mmari na Wille

                      Bnv beki wa kulia Remmy akiwa kwenye pozi la kupokea maelekezo.


Director Of football Kambi(mwenye jezi no 10) akitoa maelezo kwa wachezaji wenzie wa BNV kabla ya mechi,Huku Geoffrey akionekana kusisitiza kuwa pitch ni kama ile ya Nou Camp


wachezaji wa Bnv wakiwa katika tactical analysis,Aliyeshika kiuno ni mzee wa kazi Eddo akisubiria giza liingie afanye yake.

                           Bad Boy Agapit akijidai katika kiwanja cha  Gymkhana tayari kukinukisha.

Katika soka kila team ina Bad Boyz wake,hapo Eddo na Geoffrey ambao ni moja ya wanaounda Kundi la Bad Boyz wa BNV,wakisubiria filimbi tu kulianzisha


Geoffrey akiwa anaonyesha six pack zake huku akipokea maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mtaalamu kambi

Mechi hii iliisha kwa matokeo ya Gmykhana 3 na Bnv 2 huku magoli ya Bnv yakiwa yamewekwa kimiani na Eddo Msukus na Papaa ambayo hayakutosha kuwapa ushindi.
Huku katika safu ya ushambulia Captain Geoffrey yeye aliongoza kwa kupiga pasi nyingi za mwisho.
Mchezaji bora wa mechi kwa Bnv alikuwa kiungo mkabaji Wille.

BNV iliwakikilishwa na Hussein,moses,George,Sam,Aga,Will,Kambi,Geoffrey,Eddo,Tobby n Mmmari

Monday, August 17, 2015

Boko National Veterani Kamati Kuu(KK) Cont ...
Makamu Mwenyekiti
Team ya Boko National Veteran kamati kuu inaundwa na watu makini ambao ni proffesional and well educated,ambao pia ni wanamichezo thabiti.Leo ni wakati Vice Chairman

  Jina Kamili:Edwin Polle
Nafasi KK:Makamu Mwenyekiti
  Jina la Utani:Msukus,Vice
Jezi Namba:10
Nafasi Asilia:Middle of The Park 
Nafasi Zingine:Mshambuliaji
Timu ya nyumbani anayopenda:Simba
Timu ya Epl:Liverpool
Timu ya Laliga:Real Madrid
Professional:Banker & Risk Expert

                              Edwin Polle,Makamu Mwenyekiti wa Boko National Veterani
                 Mr Edwin Polle akiwa katika majukumu ya kila ndani ya ofisi yake,na Files za kutosha

 Baada ya kazi Jembe Vice akiwa katika kambi set akifanya mazoezi ya moto kwa mikato ile ile ya merseyside
              Mtaamu Vice akitoa huduma ya kwanza baada ya team member kutokwa na povu,kwa utamu wa                       kambi set
                                           Eddo akiwa katika drilling nzito za passing
     
Vice wa Boko veterani Msukuma katika pozi la kurudi uwanjani kuendelea na set za mazoezi


Mtaalamu Eddo (mwenye miwani) akiwa katika bench katika moja ya Mechi mazoezi   akisubiria kuingia baada ya namba yake ya kudumu kuchukuliwa na Jokery

Interview ya makamu mwenyekiti na BNV blog moderator inakuja soon

Thursday, August 6, 2015

Boko National Veterani Kamati Kuu(KK)
Team ya Boko National Veteran kamati kuu inaundwa na watu makini ambao ni proffesional and well educated,ambao pia ni wanamichezo thabiti.
kwa kuanzia toka juu ni kama ifuatavyo.

       Jina Kamili:Agapit Manday
Nafasi KK:Mwenyekiti
  Jina la Utani:Berlusconi
Jezi Namba:7
Nafasi Asilia:Mshambuliaji wa Kati
Nafasi Zingine:Beki wa kati
Timu ya nyumbani anayopenda:Simba
Timu ya Epl:Chelsea
Timu ya Laliga:Real Madrid
Professional:Lawyer

                                         
                                         Mr Agapit Aka Berlusconi Himself katika Professional.
                                   Aga akiwa katika shughuli za uwanjani kuitetea BNV,ingawa mwili                                                      unaonyesha kusua sua
                            Berlusconi katika ndani ya uwanja wa Mwenge mechi ya Bonanza                          
           Mwenyekiti katika ubora wake akiwa anafurahia shughuli pevu aliyofanya uwanjani 

Interview ya Mwenyekiti na Modereta wa Blog ya BNVFC
Coming shortly