Thursday, February 18, 2016

BNV yapata tuzo mbili katika bonanza la mwambao

Katika mashindano ya Bonanza la mwambao yaliyofanyika mjini bagamoyo BNV imejipatia tuzo mbili tofauti ambazo ni team bora ya yapili katika muda wote wa mashindano na team yenye nidhamu.
Hatimaye jihudi kubwa ya mazoezi yajulikanayo kama kambi set yameanza kuleta matunda.


























































No comments:

Post a Comment