BVN Yapambana vita kubwa katika Viwanja Vya Gymkhana
Kiwanja cha Gymkhana ambacho nyasi ziliwaka moto
Captain wa BNV katika Geoffrey akifanya kupasha Misuli na Golikipa Hussein (Kushoto) pamoja na Tobby (kulia) tayari kabisha kupambana na Gymkhana Fc
Kikosi cha BNV kilicho anza mapambano katika viwanja vya Gmykhana,waliosimama kutoka kushoto ni Agapit,George,Wille,Eddo,Mmari,Kambi,Geoffrey,Lusesa.
walio chuchumaa kutoka kushoto ni Khamis,Mosses,Hussein,Sam na Tobby
Bnv wakiwa wana pasha pasha misuli moto kujiweka safi kabisa kwa ajili ya mpambano,Agapit,Mosses,George,Kambi,Mmari na Wille
Bnv beki wa kulia Remmy akiwa kwenye pozi la kupokea maelekezo.
Director Of football Kambi(mwenye jezi no 10) akitoa maelezo kwa wachezaji wenzie wa BNV kabla ya mechi,Huku Geoffrey akionekana kusisitiza kuwa pitch ni kama ile ya Nou Camp
wachezaji wa Bnv wakiwa katika tactical analysis,Aliyeshika kiuno ni mzee wa kazi Eddo akisubiria giza liingie afanye yake.
Bad Boy Agapit akijidai katika kiwanja cha Gymkhana tayari kukinukisha.
Katika soka kila team ina Bad Boyz wake,hapo Eddo na Geoffrey ambao ni moja ya wanaounda Kundi la Bad Boyz wa BNV,wakisubiria filimbi tu kulianzisha
Mechi hii iliisha kwa matokeo ya Gmykhana 3 na Bnv 2 huku magoli ya Bnv yakiwa yamewekwa kimiani na Eddo Msukus na Papaa ambayo hayakutosha kuwapa ushindi.
Huku katika safu ya ushambulia Captain Geoffrey yeye aliongoza kwa kupiga pasi nyingi za mwisho.
Mchezaji bora wa mechi kwa Bnv alikuwa kiungo mkabaji Wille.
BNV iliwakikilishwa na Hussein,moses,George,Sam,Aga,Will,Kambi,Geoffrey,Eddo,Tobby n Mmmari
No comments:
Post a Comment