Saturday, February 20, 2016

Matengenezo ya uwanja

Kamati Kuu ya Boko National Veterani imeamua kutengeneza uwanja kuelekea maandalizi ya Bonanza la Mwambao.
Chini ya Engineer Mtimbange (Baba pisi),ambaye anazingatia vipimo

kwa kiwango cha uwanja huu ambao ukikamilika unategemewa kuchezewa nyakati zote mchana na usiku
Tutaendelea kuwahabarisha wanafamilia wote wa Bnv na wanamichezo kwa ujumla.





vile vya Nou Camp.













No comments:

Post a Comment