Boko National Veterani Kamati Kuu(KK)
Team ya Boko National Veteran kamati kuu inaundwa na watu makini ambao ni proffesional and well educated,ambao pia ni wanamichezo thabiti.
kwa kuanzia toka juu ni kama ifuatavyo.
Jina Kamili:Agapit Manday
Nafasi KK:Mwenyekiti
Jina la Utani:Berlusconi
Jezi Namba:7
Nafasi Asilia:Mshambuliaji wa Kati
Nafasi Zingine:Beki wa kati
Timu ya nyumbani anayopenda:Simba
Timu ya Epl:Chelsea
Timu ya Laliga:Real Madrid
Professional:Lawyer
Mr Agapit Aka Berlusconi Himself katika Professional.
Aga akiwa katika shughuli za uwanjani kuitetea BNV,ingawa mwili unaonyesha kusua suaBerlusconi katika ndani ya uwanja wa Mwenge mechi ya Bonanza
Mwenyekiti katika ubora wake akiwa anafurahia shughuli pevu aliyofanya uwanjani
Interview ya Mwenyekiti na Modereta wa Blog ya BNVFC
Coming shortly
No comments:
Post a Comment