wachezaji wakiwa wanasalimiana na kupeana majukumu madogo madogo na kubadilisha tayari kwa mnyukano
wakali wa Boko wakifanya warmup tayari kuwapa dozi team ya Twiga Cement
Mechi hadi inaaisha Boko 3 na Twiga 3,man of the match alikuwa Papaa wa Bnv ambaye alifunga hat trick
No comments:
Post a Comment