Tuesday, October 20, 2015

Siku Florida ya Kimara walipoona cha mtema kuni Chini ya mbuyu mkubwa


Ilikuwa siku nzuri kabisa ambayo Bnv walikuwa katika ubora wao wa siku zote,Florida timu ya kimara ilikuja,ikapokewa na kutulizwa .







 Huwa wanasema Old man Cant Jump,. . . . . . . . . . . Jionee  mwenyewe.















Monday, October 19, 2015

BNV yapambana against Team Captain wake

Wachezaji wa boko National Veteran wakiwasili uwanja wa boko beach.











wachezaji wakiwa wanasalimiana na kupeana majukumu madogo madogo na kubadilisha tayari kwa mnyukano






   


wakali wa Boko wakifanya warmup tayari kuwapa dozi team ya Twiga Cement


















Mechi hadi inaaisha Boko 3 na Twiga 3,man of the match alikuwa Papaa wa Bnv ambaye alifunga hat trick