Sunday, January 31, 2016

Happy Birthday BNV Chairman

Mwenyekit wa team ya BNV akishare siku yake ya kuzaliwa na wachezaji wote baada ya mazoezi ya kila jumapili.















Tuesday, January 12, 2016

BNV yafungua mwaka na sare katika uwanja wa Boko National

BNV ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Boko,imecheza imesherekea miaka 52 ya mapinduzi kwa sare ya moja moja na team ya Twiga cement.




BNV Team wajumuika pamoja kuweza kukaribisha mwaka mpya 2nd Jan 2016


































































 Golikipa namba moja wa team akijibu maswali kwanini mwaka 2015 amefunga mengi golini kwake.
 Bado akiendelea kuungama kwa kusisitiza kabisa