Tuesday, January 12, 2016

BNV Wives walivyoandaa Sherehe ya kukaribisha mwaka mpya 2016

Team ya BNV wives walivyofanikisha sherehe ya kukaribisha mwaka mpya,wakiwa na kamati kuu ya BNV.

Wakati Vice chairman akitoa machache ya shukrani kwa team ya akina mama,Mkali Sangawe yeye alikuwa anaomba bia na msosi kwa kuchat.


Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,Happy New year,



   Mkali Msuya huyu striker wa ukweli kabisa ndani ya BNV akimhug mama watoto wake kuonyesha    upendo.      








Captain na mwenyeji wa shughuli nzima,kwa hakika Coca cola huwa sio nyeusi kiasi hicho ikiwa kwa glass.


Team ya Bnv wives wakiwa katika moja ya pozi la kufutia kasi Wine baada ya kazi pevu ya kuandaa kufunga mwaka.


Mkali wa mazoezini aliyezoea kupelekwa kwa toroli home,baada ya sherehe aliweza kutembea vizuri kabisa ingawa alikuwa hanywi juisi,soda wala chai.

Kamati kuu ya BNV inapenda kuwashukuru akina mama wote ambao waliweza kuandaa shughuli ya kufunga mwaka nyumbani kwa captain kuanzia na mama mwenye nyumba mama Peace,Mrs Vice,Mrs Kambi,Mrs Msuya,muheshimiwa mrs Manday,Mrs Egidio,Mama Poti, na wale wote ambao waliweza kufanikisha shughuli hiii nzima.

                                              BNV NI ZAIDI YA TEAM



























No comments:

Post a Comment